watermark logo

King Kaka na Jua Cali waongoza hafla ya kukuza talanta huko Eldoret

6 Views
J Tube
9
Published on 15 Dec 2019 / In Music

Wasanii tajika kutoka Nairobi wanakongamana mjini Eldoret kwa kutafuta ,kulea na kukuza vipaji vya wasanii wachanga.Wasanii hao wameongozwa na Kennedy Ombima maarufu (King Kaka),Jua Cali Miongoni mwa wasanii wengine.

Show more
0 Comments sort Sort By

Facebook Comments